AI Video Creation

SuperGrok AI

Utangulizi

SuperGrok ni nini?

Grok ni msaidizi wa akili bandia (AI) uliotengenezwa na kampuni ya xAI. SuperGrok ni mpango wa usajili wa kulipia wa Grok unaotoa matumizi zaidi na upatikanaji wa vipengele vya juu.

Kupitia Grok Imagine unaweza kutengeneza picha kutoka kwa maelezo ya maandishi na kuzigeuza kuwa video fupi. Katika mafunzo haya utajifunza kuandika prompts zenye matokeo bora na kuunganisha kazi hiyo na CapCut kwa uhariri wa mwisho.

Tazama Mafunzo
Full Course

SuperGrok AI Full Course

Masomo yote ya SuperGrok AI sehemu moja, kwa mpangilio — kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Masomo 8
Fungua Full Course
Mifano

Mifano ya Prompts za Kujaribu

Cinematic shot ya mama lishe akipika chapati sokoni Kariakoo asubuhi, mwanga wa jua wa dhahabu, 4K, mtindo wa documentary.
Logo-style 3D ya herufi "N" yenye rangi ya bluu na zambarau, background ya giza, mwanga wa neon.
Slow-motion ya mawimbi ya bahari Zanzibar wakati wa machweo, kamera ikisogea polepole kushoto.
Andika script ya video ya sekunde 30 inayotangaza duka la simu, yenye hook ya kuvutia mwanzoni.
Video Lessons

Mafunzo ya SuperGrok AI kwa Video

Chagua somo lolote hapa chini na anza kujifunza.

Endelea Kujifunza

Mafunzo Yanayohusiana

Una swali kuhusu SuperGrok AI?

Tuandikie — tunafurahi kukusaidia kuchagua somo sahihi au mafunzo ya ana kwa ana.