somo la kwanza : ijue capcut kwa undani
hapa utajifunza namna ya kulog in na namna ya kuhakiki subscription zako pamoja na mnamna unaweza kulink capcut ya simu na pc yako
Tazama SomoCapCut ni programu ya kuhariri video inayopatikana kwenye simu, kompyuta na kivinjari (browser). Ni rahisi kwa wanaoanza lakini ina zana za kutosha kwa kazi za kitaalamu.
Mafunzo haya yanakuongoza hatua kwa hatua kutoka kukata clip yako ya kwanza hadi kutengeneza video za matangazo na Reels/TikTok zenye mvuto, pamoja na kutumia vipengele vya AI vilivyomo.
Masomo yote ya CapCut Video Editing sehemu moja, kwa mpangilio — kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Chagua somo lolote hapa chini na anza kujifunza.
hapa utajifunza namna ya kulog in na namna ya kuhakiki subscription zako pamoja na mnamna unaweza kulink capcut ya simu na pc yako
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Import, kata, panga na export video yako ya kwanza kwa CapCut.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Tengeneza subtitles kiotomatiki na sawazisha muziki na mdundo wa video.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Ongeza transitions laini, effects na keyframe animations.
Tazama SomoSomo hili ni maalum kwa mgeni ambae hajui chochote kuhusu video za AI. hii ni hatua ya awali imeelezea tool ya kutengenezea video kwa ujumla.
Tazama SomoSomo hili linaelezea namna ya kujiunga na flow na kuzijua sehemu kuu za flow kabla ya kuanza safari mpya ya kuwa mtaalam wa video za AI.
Tazama SomoHatua za kuanzisha kampeni ya matangazo kwenye Facebook na Instagram.
Tazama SomoTuandikie — tunafurahi kukusaidia kuchagua somo sahihi au mafunzo ya ana kwa ana.